Nifanye nini ili nimsahau?

Nifanye nini ili nimsahau?

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Nilikuwa na girlfriend ambaye nilimtoa usichana wake, lakini kadri nilivokaa nae niligundua kwamba maumbile yake yana maji sana, nilishindwa kumvumilia kwa kweli ingawa nilimpenda sana nikaamua kuachana nae, ni muda sasa lakini yule dada amekuwa mawazoni mwangu kiasi nashindwa kudumu na msichana mwingine nikimkumbuka, je atakuwa ameniroga? Au ni kwasababu nilimtoa usichana wake ndio maana amekaa akilini mwangu?

Pia wanaume wenzangu na ni hali ya kawaida kumkumbuka mwanamke uliyembikiri? Mpaka kujutia uamuzi wa kumuacha? Hii imekaaje? Ila nikikumbuka tu maji.
 
Kumkumbuka msichana uliyembikiri ni weakness yako tu hili ni suala la kisaikolojia sio la kijinsia.

Ulimuacha kwasbb K yake ilikuwa na maji, Je, unajiskia kumpenda tena hayo maji yameshaisha au?
 
Mungu aliweka agano kwamba bikira hubikiriwa na mumewe sasa inapotokea kwamba unabikiri bikiri tu nakuacha unakuwa na laana ya kuwaacha wake kibao

Hiyo n laana mkuu fikiri kabra hujabikiri
 
Hivi k ikiwa na maji nini tatzo lake na kuna tiba yako....pls
 
Oneni mlivo na roho mbaya! Huwa hamuwezi kuvumilia hata kidogo! Sasa ulimuacha ili aolewe na nani!! Mfyuuuu...
 
Mungu aliweka agano kwamba bikira hubikiriwa na mumewe sasa inapotokea kwamba unabikiri bikiri tu nakuacha unakuwa na laana ya kuwaacha wake kibao

Hiyo n laana mkuu fikiri kabra hujabikiri
Kwa hiyo mkuu wewe uliyembikiri ndiyo umemuoa?
 
mambo ya kawaida hayo kilichotokea sio kwamba et ulimtoa bikra ila ulimpenda kwa dhat ila mahitaj yako ya mwil yalikufanya ukamuacha thats all
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom