Ahhh basi jibu nshalionaWatu wengine bana miaka 0-4 mbona kalelewa bila wewe
Je ulishawahi toa matunzo yoyote ktk kipindi hiko??
Sasa ndo huyo kashamkimbiza huko kwao..Ahhh basi jibu nshaliona
Sasa hujawahi toa hata kumi gadhabu ya nini,basi japo ungekomaa ukadumisha mawasiliano mana malezi sio pesa tu
Ilhali huna mchango wowote muache mama ake alee tu sanasana mkubaliane uwe unamuona mwanao baaas
Na ndo hichi sasa nnachokihofia. Ila ushauri wako nitaufanyia kaziKama yuko bongo nenda ustawi wa jamii japo upewe muda wa kuwa na mtoto likizo....cha msingi asije kuwa anampa sumu kwamba wewe ni baba mbaya na wewe usifanye hv.... mkubaliane kwamba mtoto asilishwe maneno...
Ningewezaje kumuhudumia wakat yuko mbali nami?Kuwa na mtoto ni zaidi ya kumwaga shahawa!!! Wewe unmpa mwanamke mimba hutunzi mtoto miaka minne then unasema una mtoto!!!!
Duc In Altum.
Huo utaratibu mliojiwekea ni mzuri sasa huyu wa kwangu hataki kabosa niwe na mtoto wangu karibuKaeni chini mjadiliane mjue cha kufanya kwakweli hata mimi mtoto wangu simpeleki kwababa yake.. No Way nimemsafirishia kaskazini huko, though huyu mwana mwenyewe anakiherehere na babake anaweza kutuwekea mgomo kuanzia kwenda shule mpaka kula ni kulia tuu anamtaka babayake, hahaha na akishaongea naye anaridhika anasahau mpaka huo wazimu wa kwao umrudie tena.
Sisi tumekubaliana aishi na mimi mpaka ajitambue kisha ataamua pa kwenda kwakweli, sijawahi kumzuia mtoto wangu kuwasiliana na babake napenda wawe na ukaribu japo walionana mara ya mwisho dogo akiwa na miezi 9 sasa ana miaka 5 kasoro..
Na kutokana na mazingira nahisi wataonana akiwa na 10 years or more
Wewe si umesema mlikua mnawasiliana? Sasa ulishindwa nini kutuma matumizi? Miaka minne!!!! No matumizi from no where eti namtaka mtoto wangu seriously? Hata yeye hataki alelewe Na mwanamke mwingine sawa.Ningewezaje kumuhudumia wakat yuko mbali nami?
Sasa ndo mana namuhitaji ili niweze kumuhudumia mwenyewe