Nifanye nini ili hali hii iondoke moyoni mwangu?

Nifanye nini ili hali hii iondoke moyoni mwangu?

unajisumbua bure tu unaangaika na wanasiasa ha ha ha
 
umelishwa limbwata na kupokea na kula hela zake!! hivi huwa mnajua anazitua wapi? unakuta mhanga Wa kienyeshi ameandika :

mganga Wa jadi kutoka Nigeria

1.hela za majini
2.biashara
3.kupandishwa cheo
4.mapenzi
 
Tusiiondoe Aendelee kuishi katk fikra zetu
 
Wadau ni mwaka sasa tangu tufanye uchaguzi na kupata matokeo katika nafasi mbalimbali za uongozi nchini,lakini kwangu imekuwa ngumu sana kuamini kuwa Mh.rais JPM ndiye rais wa Tanzania kwa sababu kila nimuonapo Lowassa nahisi hasa nimemuona Rais wangu na kibaya zaidi Mh.Edward Ngoyai Lowassa haonekani hovyohovyo hii inanifanya mimi kummiss sana kiongozi huyu wa nchi yangu.Ni heri kutendwa na mwanamke maumivu hayakuchukua siku nyingi nilirecover lakini maumivu ya Lowassa kutokuwa rais wangu yamekuwa yakinitesa sana,Miongoni mwa siku ambayo sitaisahau ni ile siku ambayo matokeo yanatangazwa,ninyi wenyewe mnaweza mkawa mashahidi mtaani kulivyopoa,basi mimi sikula kama kawaida kama siku kumi hivi,ilikuwa nikiwekea sahani ya chakula nakula tonge mbili au tatu,iliniuma sana haikuwahi kutokea.
Sasa huwa najiuliza hivi ni mimi tu au kuna wenzangu ambao nao pia wakimuona Mh.Edward Ngoyai Lowassa huhisi kuwa tumemuona rais wetu.?
Msaada jamani maana hali hii inaondoka lakini naona kuna kila dalili ya kudumu kwa muda mrefu ila kila nimuopnapo Magufuli huwa nacheka sana ,sijui kwanini.Na siku hizi watu wanakosoa sana kuliko pongezi na ndio maana malaika wameombwa kushuka.
Magufuli makes me Laugh while....
Lowassa makes me Happy,The Almighty God may be ahead of you Hon.Lowassa,You are living in a very sensitive part of my heart.I will hold you forever.

huyo lowassa ni ccm pure, maisha yake yote kaisji akiwa ccm, na kaja chadema ccm ilipomkata

unahitaji kupimwa akili,

kesho utajitetea kwa nini umekuwa shoga, ili hali hali hiyo huwapata wajinga wa mwisho mafirauni...aambao utetea maamuzi yao

unatumia moyo kupenda, tumia na akili pia

hata biblia inasema mpende Mungu kwa moyo,akili na nguvu zako zote

unayependa kwa moyo hivi, mara nyingi mnakuwa ni mijinga hivi, waone wenzako

Lowassa ni mwizi, mwizi, mwizi, fisadi fisadi...yeye na hao CCM wenzake ni wezi tu hata leo hii

mpe mkeo,'au kajiozeshe kwake
 
umelishwa limbwata na kupokea na kula hela zake!! hivi huwa mnajua anazitua wapi? unakuta mhanga Wa kienyeshi ameandika :

mganga Wa jadi kutoka Nigeria

1.hela za majini
2.biashara
3.kupandishwa cheo
4.mapenzi

leo lowassa hasikiki akitoa yale mamilioni ya misaada
 
Back
Top Bottom