mjomba2011
Member
- Nov 16, 2011
- 24
- 7
Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10,
sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu,
Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.
Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia aende hospitali Ugomviiiiii.
Katika pita pita zangu nimekutana na dada mmoja kanizalia mtoto,nashindwa jinsi ya kumueleza MKE maana mtoto amepatikana nje,nikiwa tayari kwenye ndoa.Na kilichosababisha niamue kuwa na mtoto nje ya ndoa ni baada ya kutoa mimba zaidi ya 3 kwa huyu bi mdogo(Mungu Nisamehe Katika Hili).
NIPO KWENYE NJIA PANDA
- Mke wa Ndoa ananiona kama mim naweza nikawa na matatizo ya uzazi,
- Nina mtoto nje ya ndoa tayari ana miaka 2 na mwingine anaweza kufuatia baada ya musa si mrefu.
- Dharau,Kiburi anachoendelea kunionyeshea kinanifanya niongeze mtoto mwingine nje ya ndoa,
- Nimejaribu kumrekebisha harekebishiki
- WANA JF naombeni mawazo yenu nifanye nin??????
Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.
Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia aende hospitali Ugomviiiiii. Katika pita pita zangu nimekutana na dada mmoja kanizalia mtoto,nashindwa jinsi ya kumueleza MKE maana mtoto amepatikana nje,nikiwa tayari kwenye ndoa. Na kilichosababisha niamue kuwa na mtoto nje ya ndoa ni baada ya kutoa mimba zaidi ya 3 kwa huyu bi mdogo(Mungu Nisamehe Katika Hili).

mjomba2011 hizo mimba tatu una uhakika nazo kwa maana ya vipimo? Kama anaweza kubeba mimba ina maana mke wako hana matatizo; chunguza sababu inayopelekea mimba kutoka inaweza kuwa unamfanyiza sana kazi au wewe ni mkali sana kwa mkeoNimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.
Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia aende hospitali Ugomviiiiii. Katika pita pita zangu nimekutana na dada mmoja kanizalia mtoto,nashindwa jinsi ya kumueleza MKE maana mtoto amepatikana nje,nikiwa tayari kwenye ndoa. Na kilichosababisha niamue kuwa na mtoto nje ya ndoa ni baada ya kutoa mimba zaidi ya 3 kwa huyu bi mdogo(Mungu Nisamehe Katika Hili).
NIPO KWENYE NJIA PANDA
- Mke wa Ndoa ananiona kama mim naweza nikawa na matatizo ya uzazi,
- Nina mtoto nje ya ndoa tayari ana miaka 2 na mwingine anaweza kufuatia baada ya musa si mrefu.
- Dharau,Kiburi anachoendelea kunionyeshea kinanifanya niongeze mtoto mwingine nje ya ndoa,
- Nimejaribu kumrekebisha harekebishiki
- WANA JF naombeni mawazo yenu nifanye nin??????
mjomba2011 hizo mimba tatu una uhakika nazo kwa maana ya vipimo? Kama anaweza kubeba mimba ina maana mke wako hana matatizo; chunguza sababu inayopelekea mimba kutoka inaweza kuwa unamfanyiza sana kazi au wewe ni mkali sana kwa mkeo[/QUOTE
Ndachuwa.Mimi ni msomi wa degree tena sio moja ndugu yangu,Mimba ninazokuambia sio kwamba ni za mke wangu wa ndoa.MKE WANGU WA NDOA HAJAWAHI HATA KUSHIKA MIMBA IKAHARIBIKA,Hizo tatu ninazokuambia ni za huko nje ila sio kwa wanawake tofauti hapana ni kwamwanamke mmoja
muulize alishawahi toa mimba mara ngapi?
akikataa kujibu nenda nae kwa hospital halafu uone itakuwaje..
pia inawezekana sperm zako na eggs zake zina reaction kwa hiyo inaharibika soo na hilo mcheki pia..
NDUGU YANGU nimekaa na mawazo,Kuna muda nashikwa na hasira natamani nimuambie ukweli lakini naona kama naweza kusababisha madhara makubwa kama sio kwakwe,ni kwa yule mwanamke ambaye amekubali kunizalia mtoto wa kwanza,na amekuwa radhi kuniongezea mwingine,au hata kwangu pia maana nimeshaanza kuona dalili za ushirikinaMiaka 10?......km ni kweli upo sawa, time is the righteous judge, kaongeze watoto hadi wawe watatu ili wareplace wale mlio-abort, naona huyo mwanamke wa ndani ni majanga, nijuavyo majadiliano ndio njia rahisi ya kuweka sawa matatizo ya kwenye ndoa, km hilo likishindikana tunafanya natural justice, yaan hichi ulichokifanya, otherwise utakuja kupata mtoto anakuita babu badala ya baba.........kimbizana na muda mjomba2011!!!!