dreams and visions
Member
- Jul 8, 2017
- 95
- 29
Mimi ni kijana wa kiume,nmemaliza chuo mwezi huu. Nasubiri vyeti mwisho wa mwaka ambapo ajira rasmi inaweza kuwa mwakani. Kwa muda huu ninafikiria nifanye biashara(nina mtaji wa 500,000) au niajiriwe kwenye taasisi flan kwa malipo ya 400,000 kwa mwezi. Jee kipi sahihi kufanya kwa muda huu?