hujampata bado wa kumpenda ukimpenda mwenyewe utaona by the way tulizana mkuu maradhi hamsini kidogo siku hizi
kwa sasa nimetulia kama maji kwa mtungi nami naogopa hayo maradhi mkuu and thank you kwa ushauri wako.
Acha haraka na usubiri, utampata tu wa kumpenda wewe mwenyewe utajiridhisha kuwa umempenda, maana kumbuka "kupenda si kazi ila kumpata akupendaye" - tulia ili uje umpate utakayempenda na yeye akupende. Hapo itatulia sana.
mimi ni kijana wa kiume hapo nyuma nishawahi kumpenda binti mmoja kupita maelezo nikiwa kidato cha sita mwishoni, aliniacha bila sababu za msingi since then sijawahi kupenda kiukweli, naishia kuumizana tu na wasichana but honestly natamani kumpenda mmoja tena ila cjui inakuwaje hv kuna jinsi unaweza fanya kupenda tena?