Acha kutumia WhatsApp app ambazo sio official kutoka Play store, pia kama unatuma msg za kubuguzi watu bila makubaliano "spam" acha kufanya hivyo. Nadhani kuna sehemu inasemaga Contact support ukipigwa ban mara nyingi wanakufungulia baada ya siku kadhaa ukiomba.