Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Wakuu mimi nilikuwa nachangamoto ambazo zilinisumbua kidogo Wanawake na Usingizi hivi vitu nimetafuta namna ya kuviacha kama sio kuvipunguza .
Wanawake nimeweza ileweke sikuwa mtu wa zinaa sana ila nataka nisiwafikirie kabisa hilo nimeweza kwa kiasi yani niko neutral now sina gal niliyemuweka moyoni akanichanganya akili .
Sasa Swala usingizi ni shida kwangu Natamani nisilale kabisa Masaa 24hrs nina vitabu na mambo mengi ya kujifunza kupitia mitandao nahisi usingizi si chochote si lolote zaidi unanipotezea muda napumzika vya kutosha kwa kukaa nakusoma vitabu ninapokuwa free katika eneo la kazi but still nkirudi nyumbani najikaza mwisho saa saba nalala Nataka kuijenga akili yangu isilale hata wiki hivi.
Nifanyaje wadau situmii kilevi na wala sitapendeleaa ushauri wa kutumia vilevi au Mihadarati je kuna athari nisipolala?
Kumbuka sifanyi kazi all the time napata muda mwingi wa kupumzika but not kulala yani chilling na kusoma vitabu au kutaza vipindi vya Tv kumbuka kwa saa nalala masaa 5 mpaka 6 nahisi kupoteza muda kwa ulalaji huo.