Nifanyaje khs antivirus!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Je ni antivirus gani ya kudownlnad ni nzuri(itaprotect computer for real) na inakuwa dowloaded easy! Hata kama ni trial! Nimejaribu AVG inaishia njiani msaada plz!
 
Kama unaweza kuwa unadownload updates mara kwa mara windows defender kwa window 8 na vista inapiga mzigo fresh.
 
Kwa computer yenye window 7 inaweza faa ipi? Na vp kuhusu Kaspersky!?
 
Elezea AVG inaishia njiani kivipi. Windows defender ni bure na easier to use, with simpler notifications, more scanning options,and less impact on your computer's
performance download hiyo au nunua Kaspersky Original i think bei inarange kwenye 30,000 hapo ni keys za mwaka mzima pia huku ndani JF kuna threads kibao zinazungumzia namna ya kutumia bure softwares nyingi ikiwemo hiyo Kaspersky.
 
AVG kila nikidownload inafika mwisho inaandika your not fully protected!
 
Microsoft security Essential (MSE)
Iko poa sana ila ucsahau ku UPDATE
 
Microsoft Security Essential ndo mpango mzima, haina trial afu ni free..just google it..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…