ladycomfort
Member
- Oct 19, 2019
- 80
- 49
- Thread starter
-
- #21
Mhhhhh bhc hii itakua shidaMapenzi ya mbali ni silaha hatari sana ya kuangamiza mahusiano... Mmojawapo akianguka tu na akashindwa kusimama tena akashikwa akashikika... Kifuatacho ni maumivu makali sana
Jr[emoji769]
mwombe Mungu sanaMawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣jifunze kupiga PUNYETO...... itakusaidia sana tuu....
itamsaidia pia.......asubuhi anapiga kimoko,,,,jioni bfr switching off double.....swafiii....kwanza akili inakuwa hot kutafuta pesa...coz mpenzi wako PUNYETO yuko na wewe daily....🤣🤣🤣
Na atende ktk punyeto itamlinda itamliwaza itamsahaulisha kuwa na mpenzi wa mbali atajiona yeye ni yeye mpenzi ni punyeto mapenzi ni punyeto!!
Mkuu ushauli huu atapindukia kwenye Hilo dimbwi atakuja mchukia mtu wake.
Tafuta kipoozeo.
Mvute karibu, Love is equal to Distance times EyesMawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asnteee ,,,hata sisi mawasiliano yapo vzuri pia tunanaaminianaMim mpenz wang yupo mbali nafanyaga hivi ....kwanza mawasiliano yetu ni mazuri..alafu hatuwazian mambo mabaya tuna aminiana japo najua lazima achepuke maana hata mm nachepuka sana tu...alafu hatugomban kwa mambo madogo madogo tkiona hapa kuna dall za kukosana tunaepusha..wivu usipitilize..kwa kifupi mahusian ya mbal ni kujikaza
Duuuuuh sawajifunze kupiga PUNYETO...... itakusaidia sana tuu....
Muache wewe mapema ili usiumie, ukiruhusu hadi ukafikia hatua ya kukucha utajuta, Fungeni ndoa niwashauri vizuri ila kushauri wazinzi inataka moyo maana hapa nilipo ninamizambi kibao bado nibebe na midhambi yenu!! Nehi