nifanyaj nokia lumia710 inanisumbua blututh n USB

nifanyaj nokia lumia710 inanisumbua blututh n USB

jaycobs

Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
28
Reaction score
0
Lumia710 hai pair na cm zngne ko cwez kurusha tracks kwa blututh af niki cinnect usb hai detect xmtym driver not found xmtym succesfuly bt haipo kwen computer nisaidieni mafundi.
 
Doh hii ni matunda ya Naibu Waziri
 
mkuu in short simu yako haisuport bluetooth lakini sio forever.

Simu yako kama ni original inasuport windows 7.5 ambayo haikubali bluetooth ili ikubali itabidi uiupdate kwenda windows 7.8. So hapa napo kuna mawili

ku update kwa navifirm
kwenye navifirm windows phone 7.8 imeshatoka na watu washaflash simu zao sema siricomend njia hii kama wewe ni beginer maana sio safe ila kama unajiamini unaweza kwenda navifirm ukadownload ukaflash simu yako.

kusubiri official update ya nokia
nokia wanatarajiwa mwisho wa mwezi huu kuirelease official hiyo wp7.8 i hope una pc na ina zune so ikitoka ukiconect simu yako na zune kwenye pc utaiona na uta update.

Wp7.8 ndio update microsoft walioahidi kuichange simu yako iwe kama wp8.

Simu yenye wp7.5 ipo hv
win7.5phones_1.jpg


wakati uki update zitakuja hv
1c648932bab29df359cab991803dd5f5_6.jpg


so kwa update hio utafaidika na haya.
1. Bluetooth
2.resizible tiles
3. Room na people hub
4. Apps mpya
 
na ishu ya usb lazma udownload zune software ili simu yako iwe detected kwenye pc
 
Tnx joh kwa usb nmekxoma ila hko pengne n mashkolo lbd unielekez cmpo zaid y hapo,mana cna raha, afu ktu kngne Mkwawa nmeichukua kilo 4.5 apa arusha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom