Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Pole sana kubali matokeo. Lkn mbona wewe bado mdogo ulianzaje mambo haya. Nakupa pole tena . Jipe moyo Mungu ni mwema kumbuka kuna wengi kama wewe yaliwakuta lkn walipita salama so calm down. Purukushani za maisha ziko nyingi mno .mimi ni kijana wa miaka 20 tatizo ni kwamba yule niliyempenda kaniacha tena bila hata sababu ya kueleweka na nikikumbuka mambo niliyoyafanya kwake roho inaniuma sana true i cant without her plz fans i need your help