T tagucy Member Joined Jul 28, 2017 Posts 15 Reaction score 3 Aug 9, 2017 #1 Eb nisaidien kwa wenyej wa dodom ni changamoto gan zinawakumba huko maana nampango wa kuja Sent using Jamii Forums mobile app
Eb nisaidien kwa wenyej wa dodom ni changamoto gan zinawakumba huko maana nampango wa kuja Sent using Jamii Forums mobile app
Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,893 Reaction score 3,121 Aug 9, 2017 #2 Maji, kama hauna mkopo Kama una nasal allergy ni tatizo mana hata mimi linalishinda mengine yapo kila chuo duniani, na hata ulipotokaga tunaenjoy sana accomodation, na hata kama hauna mkopo, utaishi vizuri ila uwe mtu wa watu🙂🙂😀😀 But we do live happily coz tumezoea,
Maji, kama hauna mkopo Kama una nasal allergy ni tatizo mana hata mimi linalishinda mengine yapo kila chuo duniani, na hata ulipotokaga tunaenjoy sana accomodation, na hata kama hauna mkopo, utaishi vizuri ila uwe mtu wa watu🙂🙂😀😀 But we do live happily coz tumezoea,