Chemsha choroko zako HAKIKISHA zinaivabvizuri sababu Huwa ni ngumu kuiva haraka baada ya kuiva zitoke kwenye jiko kisha chukua sufuria ingine weka maji ya moto jikoni au chemsha weka Michele ulioandaa humo kisha mwaga choroko zako ndani kisha changanya changanya mpaka mchele na choroko vichanganyike weka chumvi na mafuta HAKIKISHA kama unataka utamu basi uwiano wa mchele uwe sawa na choroko au choroko ziwe CHACHE kuliko mucheleeeee.Nimevuruga vibaya sana (Mchele na choroko) .
Chemsha choroko zako HAKIKISHA zinaivabvizuri sababu Huwa ni ngumu kuiva haraka baada ya kuiva zitoke kwenye jiko kisha chukua sufuria ingine weka maji ya moto jikoni au chemsha weka Michele ulioandaa humo kisha mwaga choroko zako ndani kisha changanya changanya mpaka mchele na choroko vichanganyike weka chumvi na mafuta HAKIKISHA kama unataka utamu basi uwiano wa mchele uwe sawa na choroko au choroko ziwe CHACHE kuliko mucheleeeee.
Hakuna Shule hapo zaidi unaweza nogesha na mamboziiii
Kaoe msukuma akufanyi vitu hivyo mchele choroko, mchele njugumawe , mchele na uwele, mchele garage, mchele dagaa.
Na mchivha mwiba
Umepika kilo ngapi mkuu au umepika nusu ya kula watu wawili? Na umtetumia muda gani kuivisha?, nusu kilo tu si chini ya nusu saaChoroko ni ngumu kuiva tangu lini?
Ila washauri wa JF sometimes 🤦♀️
Umeniwahi,nikasema labda kuna choroko ambazo Mimi sizijui.Choroko ni ngumu kuiva tangu lini?
Ila washauri wa JF sometimes 🤦♀️
Choroko na maharage kipi chepesi kuiva.Katika jamii ya mikunde NADHANI hiyo ipo miongoni mwa zinazoiva mapema baada ya njegere mbichi.Umepika kilo ngapi mkuu au umepika nusu ya kula watu wawili? Na umtetumia muda gani kuivisha?, nusu kilo tu si chini ya nusu saa
Umepika kilo ngapi mkuu au umepika nusu ya kula watu wawili? Na umtetumia muda gani kuivisha?, nusu kilo tu si chini ya nusu saa
Umeniwahi,nikasema labda kuna chorizo ambazo Mimi sizijui.
Nafukiri darasa langu limeisha na wewe endelea na lako hatushindaniMkuu kivyovyote vile choroko huwa zinawahi kuiva...labda zitachukua muda kama unazichemsha kwa mshumaa
Hata hivyo ninavyojua choroko zinazowekwa kwenye wali hazitakiwi kuiva kiivyo ukichemsha
No. Mchele hauchemshwi kivyake kama ulivyochemsha chrorko kwa sababu kitakqchotokea baada ya wewe kufanya hivyo ni sawa na kuchanganya wali maharage.Asante ,kwa maelezi ila bado kunahitajika msaaada wa mwanzo.
Nachemsha choloko
Nachemsha Mchele
Kidogo lugha inajipambanua na kuleta mchanganyiko mwingi wa maana na kuniwacha na sifuri.
Hapa kwenye kuchanganya
Je kila kimoja baada ya kuchemka kivyake >>> Navichuja maji au nachanganya vyote vikiwa ndani ya maji ,, yaani nafikili hapo ndipo nilipokosea njia , ukisikia tatizo linaitwa tatizo la njia panda.
WE NAE KICHWA KIGUMU, NIMEKUWEKE OPTION NYINGI HAKUNA FOMULA.Inawezekana naelekea kuelewa.
Chorowko
Mchele
Nachemsha choroko mpaka zimeiva ,nazimwaga maji naziweka pembeni.
Hapa ndio kindende
Nachemsha maji mpaka yanachemka ,kisha nachukuwa mchele unautia kwenye hayo maji moto ?
Umeniwacha kwenye mataa ulipoandika ...Maji yakishachemka mwaga mchele... hapo ndio nimefanya mawazo mgando ka uliwahi kuyasikia,
Choroko hazina ugumu kwenye kuiva.Chemsha choroko zako HAKIKISHA zinaivabvizuri sababu Huwa ni ngumu kuiva haraka baada ya kuiva zitoke kwenye jiko kisha chukua sufuria ingine weka maji ya moto jikoni au chemsha weka Michele ulioandaa humo kisha mwaga choroko zako ndani kisha changanya changanya mpaka mchele na choroko vichanganyike weka chumvi na mafuta HAKIKISHA kama unataka utamu basi uwiano wa mchele uwe sawa na choroko au choroko ziwe CHACHE kuliko mucheleeeee.
Hakuna Shule hapo zaidi unaweza nogesha na mamboziiii
Kaoe msukuma akufanyi vitu hivyo mchele choroko, mchele njugumawe , mchele na uwele, mchele garage, mchele dagaa.
Na mchivha mwiba