niendelee kuwepo au nikomae.....?

The Kop

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
209
92
wasalaam wana mmu....!
nimekuwa nikikumbana na wimbi la kila msichana ninayetaka kuanzisha naye uhusiano kunambia 'nina mtu'...na hata ninapo muonyesha kuwa niko "for real" bado "hujishebedua" tu, cha ajabu ni kwamba baada ya muda mrefu kupita, yaani nimepotezea wanaanza oh "mbona siku hizi kimya..." hii imenifanya nijiulize kama sina njia nzuri za ku-approach au hadi niwe na "tembo master card...." ?
 
Kwani wewe huwa unaanzaje kutema sumu?

Halafu kwani hizo Mastercard ni status symbol au? Manake naona watu mnazizungumzia sana siku hizi tokea zizinduliwe. Wakizindua black card je itakuwaje?
 
Labda ni wale wanaotaka kula huku na huku.Ana wake ila bado anataka uendelee kujigonga ili uwe akiba!Badilisha aina ya wasichana unaowafuata!
 
huwa namuomba tutoke out for lunch or dinner then namuambia hisia zangu...!
 
Dah...basi labda ndo maana unam turn off. Wewe cha kufanya bana unatakiwa uwe una drop tu hints and then let the chips fall where they may. Lakini ukienda moja kwa moja kwenye kumweleza hisia zako kwake, mchuchu anaweza kukuona bado hujakomaa na labda unajifunza.
 
Labda ni wale wanaotaka kula huku na huku.Ana wake ila bado anataka uendelee kujigonga ili uwe akiba!Badilisha aina ya wasichana unaowafuata!

em nisaidie..wa aina gani i mean wa status ipi labda... for real am after serious relationship....!
 
Dah...basi labda ndo maana unam turn off. Wewe cha kufanya bana unatakiwa uwe una drop tu hints and then let the chips fall where they may. Lakini ukienda moja kwa moja kwenye kumweleza hisia zako kwake, mchuchu anaweza kukuona bado hujakomaa na labda unajifunza.

thanx nyani...I'l apply the teknic....!
 
Mmh! Labda huwa hawakuelewi elewi.
Usikurupuke kutongoza, bora ujenge ukaribu kwanza halafu mengine yafatie.
 
wasalaam wana mmu....!
nimekuwa nikikumbana na wimbi la kila msichana ninayetaka kuanzisha naye uhusiano kunambia 'nina mtu'...na hata ninapo muonyesha kuwa niko "for real" bado "hujishebedua" tu, cha ajabu ni kwamba baada ya muda mrefu kupita, yaani nimepotezea wanaanza oh "mbona siku hizi kimya..." hii imenifanya nijiulize kama sina njia nzuri za ku-approach au hadi niwe na "tembo master card...." ?

Hujampata tu anaetakiwa kuwa wa kwako, na si ajabu unamuona ila humuwazii. Ungemwambia jamaa yangu mmoja miaka mitatu kabla ya ndoa yao kuwa atamuoa huyu alienae angekwambia unavuta yale majani mboga za jamaa zetu wahehe bila kula. In fact alikuwa nakwenda mtaani kwao lakini akiwa namfukuzia binti mwingine - na mkewe wa sasa akiwa anaona na anajua (nakumbuka kuna siku tulimtuma na alikwenda kwao huyo binti mwingine kutuiitia).

Walikuwa wanapakana kisawasawa (comments za jamaa yetu juu ya mkewe kipindi kile kwetu ilikuwa "huyu nae anavyoringa sijui ataolewa na nani?"), mwenzie nae alishawahi kusikika akipaka, "jamaa kafupi hivi sijui kakimkosa .... katamuoa nani?"

Siku ya harusi tuliwauliza kila mmoja, haya umeona ..... anamuoa nani/anaolewa na nani?

Ndugu muombe Mungu tu kama upo serious kweli.
 
wasalaam wana mmu....!
nimekuwa nikikumbana na wimbi la kila msichana ninayetaka kuanzisha naye uhusiano kunambia 'nina mtu'...na hata ninapo muonyesha kuwa niko "for real" bado "hujishebedua" tu, cha ajabu ni kwamba baada ya muda mrefu kupita, yaani nimepotezea wanaanza oh "mbona siku hizi kimya..." hii imenifanya nijiulize kama sina njia nzuri za ku-approach au hadi niwe na "tembo master card...." ?
Wadada wa siku hizi hawatongozwi wewe mtoe out mara 2 then unapanga nae siku ya kwenda kula mzigo.
 
Back
Top Bottom