Kachukue IAA PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT. Hii ni rahisi kutwist to another sector na ukaenda kukutana na michongo mipya, maisha mapya, watu wapya, ushindani mpya na zile pesa za hapanapale...
BED PPM usitarajie kupata mabadiliko makubwa ikiwa utarudi kwenye sector uliopo hata ikiwa utapandishwa daraja. Kumbuka hii kada imekua changamoto sana kwa watu kutusua na zaidi wengi wameingia tu kwasababu hawana namna...