Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Kama Unaenda S\Africa nipitie msumbiji hapa tupige story kidogo
Mkuu upo msumbiji? VP unaweza kuwa mwenyeji wangu nikipita hapo?
Nyie ndo mana mnalazwa sebuleni
Kama Unaenda S\Africa nipitie msumbiji hapa tupige story kidogo
Eid Mubarak watu Wa Mungu!
Naombeni ushauri, nimetamani kusafiri kwenda nchi yoyote ya Africa kutembea na kujifunza fursa za uwekezaji na ajira ktk nchi hizo, nimejipendekezea kwenda s/Africa au Mauritius...kwa wenye uenyeji na nchi hizo naomba tujuzane ABC's
Na kama kuna mtanzania anayeishi huko kwa sasa naomba tuwasiliane tafadhali
Karibuni..

Nenda Mauritius, South Africa watakulynch ingawa fursa za biashara ni interesting. Mauritius haiko explored sana kibiashara na wabongo kwa jinsi navyofahamu, Nakushauri uanzie huko.
Nakushauri uende mauritius huku sauzi sio kwanza kuna ubaguzi wa hali ya juu af sio salama sana bora uende Mauritius mzee
S.a sehem gan?.sipo uko kwa sasa.ila naweza kukusaidia namba za baazi ya wtz waliopo uko.kama cape town na musina/mesina hi kama utapitia border ya beitbridge.
Njoo pm nitakusaidia
Hahahaa Evelyn Salt umeanza! Hivi upo best?