Niende au nisiende?

Njoo pm
 
Mmmmh! Mpaka karne hii watu bado mnaamini ushirikina? Haya huyo bado ni mchumba tu anakushauri muende kwa mganga kwa tatizo mlilonalo, kwa nini msimuamini Mungu? Yaani kama mchumba wako ni mtu wa kwenda kwa waganga, kaa mkao wa kufanyiwa ndumba hadi utasahau watu wa kwenu!!! Mtu ambaye anaamini kwenda kwa waganga ni wa kukaa nae mbali, ni wa kuogopa kuliko EBOLA😵
 
Hivi kuna watu bado wana. imani za kishirikina? i wonder
 
sitaki kuamini kama umeshindwa kufikiria jambo dogo kam hilo.....mm sikushauri naamini ww mwenyewe unamajibu mazuri kuliko nitakayo kupa mm
 
Muamini Mungu muweza wa yote. Hao waganga wenyewe wana yao yanawashinda. Na ukiendekeza ushirikina hautoendlea
 
Nilikuwa na ngoja jibu kwa umakini sana
 
Asante Pendaneni
 
"Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye Mwanadamu na kumfanya kinga yake"

Ushauri: USIENDE.
 
Wamasai na ninyi MNA Imani za kishirikina? Kushiriki ni Imani, kukushauri kwenda au kutokwenda MTU kama Mimi siwezi kukushauri sababu umeishasema awali una matatizo yako binafsi bila kujua hayo matatizo kila akushaurie akudangana. Kuna matatizo mengine ni psychological unaweza tu kupata counselling na ukapona! Nitafute ntakupa solution.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…