Nielezeni jamani.

Nielezeni jamani.

rehehizy

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Wana jf naomba mniambie sifa za mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kwa msichana?
 
mapenzi ya siku hz yamekuwa ups and down,hakuna sifa maalumu kwani wengi tunapretend sana mwanzoni ili tuweze kuingia pale pacha 2.ngoja wenye mapenzi ya kweli waje maana mwenzenu nimepumzka kuyachukulia mapenz serious.
 
ni vigumu kumjua kwa kuambiwa aisee watu waigizaji sana siku hizi...
 
^^
Ni yule ambae yuko tayari kukuacha uende kwa mwingine uwapo ktk shinikizo hilo.
^^
 
atakuwa anakupeleka mlimani city kununua mkate!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom