kifupi sana naweza sema inapima usafirishwaji wa umeme katika moyo, kwa kuangalia mdundo wa mapigo ya moyo.Habari Wadau
Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini?