kelvin miho
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 281
- 134
Kuuliza si ujinga hvi mbona greater thinker hyo forum haiingiliki? Na naona kana kwamba hautumik ni kwel au imefngiwa?
Nashkurunukiwa mgeni kuna baadhi ya majukwaa huwezi kuingia maana hujatimiza vigezo na masharti. Endelea kufurahia majukwaa pendwa na yaliyo huru kwa kila mtu hata wasiokuwa wanachamba (members). Nimekujibu kama mwanachama mwenzako. Karibu mkuu!
Kuulza nalo tatizokwani na ww ni great thinker
Okapana haijafungiwa. kuingia kule lazima ukidhi vigezo na masharti. kubwa la kwanza ni kujua kuandika vizuri.