Nielewesheni kuhusu degree za nje ya nchi

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
2,326
Reaction score
3,720
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mwenye kujua(uelewa) juu ya degree za nje ya nchi (nikiwa hapa nyumbani)na jinsi zilivyo (hapa namaanisha faida na hasara zake pamoja na ugumu wake) ili nipate mwanga.

Asanteni na Mungu awabariki nyote.
 
siendi kokote mkuu ila nataka nifanye online degree kwa vyuo vya nje ya nchi mkuu
 
kwanza ni expensive,

pili inahitaji discipline,time management,otherwise utaishia kuwa JF siku nzima,badala ya kusoma degree yako,

mengine watayajaza
 
Uwez fananisha elimu ya kenya na uingereza, au Marekani na nchi za ulaya,... Ugumu unasababishwa na vitu vingi tu,... Jaribu kua specific nchi ngapi ulizonazo in mind tujue tunakusaidiaje,
 
asante ndugu yangu kuna chuo kinaitwa corban university na nimependa kufanya degree ya psychology kwenye hiko chuo ila pia napenda kufanya degree ya philosophy hapo mbeleni (hizo ndizo degree ninzo zipenda ) tatizo kwangu ni moja tu mkuu sifahamu pa kuanzia ili nifanye hizo degree nikiwa hapa hapa nyumbani.
 
kwanza ni expensive,

pili inahitaji discipline,time management,otherwise utaishia kuwa JF siku nzima,badala ya kusoma degree yako,

mengine watayajaza

displine na time management nipo vizuri hilo nalijua me mwenyewe binafsi.. kwenye expensive hapo natamani unijuze ndugu yangu
 
asante ndugu yangu kuna chuo kinaitwa corban university na nimependa kufanya degree ya psychology kwenye hiko chuo ila pia napenda kufanya degree ya philosophy hapo mbeleni (hizo ndizo degree ninzo zipenda ) tatizo kwangu ni moja tu mkuu sifahamu pa kuanzia ili nifanye hizo degree nikiwa hapa hapa nyumbani.

Ok na mimi nilipitiwa ila sa ivi nimekuelewa,

Online degree hazina changamoto zaid ya muda wako kuutumia vizuri, otherwise sizani kama inautofauti sana na degree zingine,...
 
asante kwa kunielewa ubarikiwe.. je ni criteria gani za kuangalia kabla ya kuapply online degree za nje ya nchi ndugu yangu..?
 
Angalia history ya chuo chenyew kweny kuoffer online degree na ubora wa degree yenyew, usajili wake kimataifa, rank pia worldwide ni nzuri kuangalia

Pili, tizama muda wako na ule wa chuo husika kama unaweza kumatch time table yao, au strategy yao ya kutoa material na muda wa kua online

Fee structure, and others material expenses

Angali alumni association ya chuo husika uangalia changamoto walizopitia previous scholars

Mengine nadhan ni ya kawaida,
 
habari za wakati huu ndugu zangu.
mwenye kujua(uelewa) juu ya degree za nje ya nchi (nikiwa hapa nyumbani)na jinsi zilivyo (hapa namaanisha faida na hasara zake pamoja na ugumu wake) ili nipate mwanga
asanteni na Mungu awabariki nyote.
Pia kiwe recognised na mifumo rasmi usije soma chuo ambacho hata usajili wake na elimu yake ni "magumashi"
 
asante kwa kunielewa ubarikiwe.. je ni criteria gani za kuangalia kabla ya kuapply online degree za nje ya nchi ndugu yangu..?

Angalia Ranking kabla huja apply,uangalie performance hii inakuwa available through google,kisha uangalie somo unalotaka kusoma,uangalie kipi kinafanya vizuri kwenye hilo somo......
 
Angalia history ya chuo chenyew kweny kuoffer online degree na ubora wa degree yenyew, usajili wake kimataifa, rank pia worldwide ni nzuri kuangalia

Pili, tizama muda wako na ule wa chuo husika kama unaweza kumatch time table yao, au strategy yao ya kutoa material na muda wa kua online

Fee structure, and others material expenses

Angali alumni association ya chuo husika uangalia changamoto walizopitia previous scholars

Mengine nadhan ni ya kawaida,
asante ndugu yangu ubarikiwe sana
 
asante ndugu yangu kuna chuo kinaitwa corban university na nimependa kufanya degree ya psychology kwenye hiko chuo ila pia napenda kufanya degree ya philosophy hapo mbeleni (hizo ndizo degree ninzo zipenda ) tatizo kwangu ni moja tu mkuu sifahamu pa kuanzia ili nifanye hizo degree nikiwa hapa hapa nyumbani.
Wasiliana na counselor wa hicho chuo mtandaoni, watakuwa ushauri wa jinsi ya kujiunga nao.
 
Back
Top Bottom