Nielekezeni jinsi ya ku-confirm NIT

Nielekezeni jinsi ya ku-confirm NIT

hijer

Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
29
Reaction score
21
Jamani nisaidieni,

Mimi nimechaguliwa chuo cha NIT na UDOM lakini mimi nataka kwenda NIT, sasa kwenye multiple selection ya NIT sipo, unafanyaje hapo?

Kwa anaefahamu plz msaada wako...
 
Kama haupo NIT umejuaje sasa kama umechaguliwa huko?
 
Jaman nsaidien mm nmechaguliwa Chuo cha NIT na UDOM lkn mm nataka kuenda NIT, sasa kweny multiple selection ya NIT silo unafanyaje hapo aicee, kwa anaefaham plz msaada wako...

Log in kwenye account yako ya NIT halafu u-confirm. Jaribu kuandika kama mtu anaejiandaa kwenda chuo kikuu.
 
Kaka ndio mana nmeomba msaada hata sehem ya confirm siion nkilog in
 
nenda kweny web yao utaona maelezo au wasliana nao
 
Kaka ndio mana nmeomba msaada hata sehem ya confirm siion nkilog in
Kwenye acount yako una message kwamba umepata chuo? Angalia vizuri majina na details zote, reg no form four & six. Unaweza ukakuta ni majina yamefanana ukawa unashoia na nit yako.
 
Back
Top Bottom