Tanzania reported on 23 September that it had suspended Chinese dairy product imports and seized about 34 tonnes of milk powder (not baby formula) from China. Tanzania Food and Drugs Authority temporarily stopped issuing of permits for importation and distribution of milk and products containing milk from China, and ordered all businesses with relevant products to surrender their stocks.
SOURCE
si ungefanya katafiti hata kidogo basi na quote mwana ili angalau habari ieleweke manake kuharibu biashara za watu kwa hisia tu sio poa. Heading tayari iko negative.
nido, lactogen milk stock found poisonous
taarifa mpya iliyotolewa kwa wananchi imetaja batch numbers mbili za kuepukana nazo.
tunaomba hizo batch numbers tafadhali au?