Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,586
- 3,722
DahSasa itakulazimu uanze zoezi upya, kitu ambacho kitakugharimu. Ulitakiwa ukufiate huko Temeke.
Nenda za nida kigomaNilitaka kusajili laini leo, zaidi ya mara 3
Naambiwa taarifa zangu hazipo NIDA,
Hawa NIDA π°π° kwahiyo me nitoke kigoma nikafate kitambulisho Temeke daah
Ninazo nimeitumia hii nida kwa vitu vingiUnaline ambayo umeisajili na nida yako kabla au ndio mara ya kwanza.
Alafu hana kitambulisho cha NIDA anaishi Kigoma na kusema Nne hajui anasema ine, kusema mtu hajui anasema Mutu , na Immigration wanafanya doria muda woteWakufungie tu maana hujui umuhimu wa kitambulisho cha uraia. Na kama uko Kigoma utapata taabu sana kwa sababu Kigoma ndo mkoa pekee ukienda unakutana na ukaguzi wa Immigration hata mara tatu.
Kwa nivyo muelewa mtoa Mada ni kwamba alijiandisha Temeke na akapata namba bila kitambulisho then akaenda kigoma sasa Vitambulisho vimetoka yeye yupo mbali na wanamfungia Nida ilikuaje wakashindwa kutoa kitambulisho Moja kwa Moja now wasumbue wananchi mbona vya kura wanafyatua hapo hapo kama Sio uhujumu tu ?Wakufungie tu maana hujui umuhimu wa kitambulisho cha uraia. Na kama uko Kigoma utapata taabu sana kwa sababu Kigoma ndo mkoa pekee ukienda unakutana na ukaguzi wa Immigration hata mara tatu.