NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

Some time huwa nakubaliana na kile Wazulu wanafanya kwenye nchi yao,Wale wazulu ni mifumo kama hii ilio jaaa Rushwa ndio inawafanya wachukue sheria mkononi.
 
We ni mjinga,capitalism ina uhusiano gani na kutoa Rushwa? wewe ni mjinga kama wajinga wengine
 
NIDA ni janja janja mno 💯
 
NIDA kusema kweli kwahili Taifa wametuingizia Wakongo na Wahindi kwakupenda rushwa hawana uzalendo wa kulinda nchi yao kabisaa
 
Hii TIZI ni Usalama wa CCM si Taifa. Hawa jamaa ni ovyo sana
 
Wenzenu wanatoa mpaka 1,000,000 ili wapate kitambulisho cha NIDA
Wako wanyarwanda kibao wanazo
Nchi imeoza rushwa ukiwa na hela chochote unakipata

Ova
Kweni Philip Mpango aliuziwa kwa bei gani hicho kikadi cha NIDA?
 
NIDA/Leseni/mpiga kura n.k zote ni sehemu za kupigia pesa
 
Tanzania shamba la bibi mtoa mada nakushauri tafuta passport mapema
 
Nchi hii imeoza kwakweli, kwann TISS wasifanye uchunguzi huko then polisi wawakamate hao watenda jinai!!
 
Nida ni genge la wahuni na wapumbavu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…