BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
Wizi.Hivi Tanzania kuna sector ambayo iko sawa kiutendaji?
ipo,sekta ya kuchakata mbususu.Hivi Tanzania kuna sector ambayo iko sawa kiutendaji?
NAKAZIA HAPAPenye uzia hao wageni wamepenyeza RUPIA
Hii ndio Tanzania bwana. Na haya mambo yanapatikana Tanzania tuNIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.
Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
Kua mtanzania sio kigezo au haitoshi kukupa kila kitu bila kusota, tuko kwenye capitalism ambapo pesa ni muhimu kuliko utu au uzalendo, ujimaa ilisha kufa na Nyerere kitambo.........Tukiongea kuhusu intelligence ya nchi tunaonekana siyo wazalendo NIDA ni sehemu sensitive lakini cha kushangaza ukiwa na laki4 au 5 kesho yake unaletewa kitambulisho chako mpaka nyumbani yani ata foleni ukai kuna wasomali na wakenya kibao wamekuja juzi tu sasa ivi wao na familia zao wanavitambulisho OG vya NIDA ..mwenzangu na mie utaambulia namba tu tena ni ya kusubiri baada ya wiki 2 .. kuna Wilaya Moja apa dar mkijiorganize watu kumi mkitoa 15k kila mmoja yani ile kufika Home jioni tayari upo kwenye system namba yako ya NIDA tayari[emoji16][emoji16] ..TISS wapo kazi yao sijui ni nini kama NIDA inachezewa ivyo vipi uko sehemu nyingine.
Kweli mkuu..hii nchi kila Mtu anakula ofisini kwakeKua mtanzania sio kigezo au haitoshi kukupa kila kitu bila kusota, tuko kwenye capitalism ambapo pesa ni muhimu kuliko utu au uzalendo, ujimaa ilisha kufa na Nyerere kitambo.........
Eewe endelea kuimba nyimbo za kale utakufa masikini na uzalendo wako wa kijinga, tafuta pesa ukanunue huduma muhimu ili uendelee kuishi vizuri, au wa Kenya wa hindi wa China wana haki nchini humu kuliko wewe kwasbb wana pesa zao na biashara zao zinalipishwa kodi serikali haiwezi kuwafuatilia sana kama unapo fikieia.
Sasa hao Tiss/uhamiaji eti waache kukusanya pesa wajenge nyumba zao nzuri eti wakupiganie wewe kisa umezaliwa Ikwiriri wewe ni Mtazania sana, wakati hata mwaka mzima huwezi kipata 100,000 ya kulipa kodi, ni fikra za kale.Kweli mkuu..hii nchi kila Mtu anakula ofisini kwake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hao Tiss/uhamiaji eti waache kukusanya pesa wajenge nyumba zao nzuri eti wakupiganie wewe kisa umezaliwa Ikwiriri wewe ni Mtazania sana, wakati hata mwaka mzima huwezi kipata 100,000 ya kulipa kodi, ni fikra za kale.