Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Kitendo cha mwanamuziki Nicki Minaj siku ya tuzo za Grammy, kuigiza akiwa na Papa, Mkuu wa Kanisa Katoliki kinaendelea kuzua mjadala kila uchao. Uongozi wa Katoliki umesema inawezekana Nicki anamilikiwa na Pepo, lakini umelaumu waandaaji wa tuzo za Grammy kuruhusu kitu kama hicho chenye kuleta kejeli kwa imani za mamilioni ya watu.
angeigiza kama mtume wa wenzetu watu wangekuwa washauana kitambo ilichorwa tu katuni ikawa shida
wakristo wamesema tu ana mapepo kwao inatosha,
Nashangaa,angalau tungemzungumzia yesu ndo ungezua la mtume!Hivi Papa ni Mtume?
Uliona wapi dini inashikilia bango kuzuia watu wasijichane 'chair fire' lakini haitilii mkazo sana kudhibiti dhambi zingine kama uzinzi?kwani ucristo ni dini? Uliona wapi dini kwa upande inaruhusu mambo ya ushoga
wakristo hawanaga shida-hata ange-act kama nani-hatuna tatizo-waislamu ndo complicators kwenye vitu vidogo kama hivi