MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,744 Aug 11, 2019 #21 G8M8 said: Asante Sana.. Je ulishawahi patwa na hiyo changamoto kwako ww Click to expand... Ndio mkuu imewahi kunipata kwenye mipapai
G8M8 said: Asante Sana.. Je ulishawahi patwa na hiyo changamoto kwako ww Click to expand... Ndio mkuu imewahi kunipata kwenye mipapai
Glenohumeral joint JF-Expert Member Joined Oct 29, 2017 Posts 2,055 Reaction score 2,911 Aug 11, 2019 #22 Kilimo acheni tu, ni very stressful
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,744 Aug 11, 2019 #23 kwa maelezo zaidi hii kitu inaitwa aphids 25 Natural Ways to Kill Aphids (Get Rid of Aphids Quickly) If you don’t want to use chemicals, then follow these 25 Natural Ways to Kill Aphids. A much cleaner and safer approach to combat these pests! balconygardenweb.com
kwa maelezo zaidi hii kitu inaitwa aphids 25 Natural Ways to Kill Aphids (Get Rid of Aphids Quickly) If you don’t want to use chemicals, then follow these 25 Natural Ways to Kill Aphids. A much cleaner and safer approach to combat these pests! balconygardenweb.com
G8M8 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 432 Reaction score 393 Aug 12, 2019 Thread starter #24 Glenohumeral joint said: Kilimo acheni tu, ni very stressful Click to expand... We acha ndugu yangu hata sijui nilie tu mana mchicha wangu mwengine umekuwa mkubwa ila bei sokoni hailipi kabisa mchicha kichenga 50 Mia moja hadi 150 kwa jumla. Moyo umekufa ganzi mboga zimekuwa nyingi masokoni bei imechafuka markets saturation.
Glenohumeral joint said: Kilimo acheni tu, ni very stressful Click to expand... We acha ndugu yangu hata sijui nilie tu mana mchicha wangu mwengine umekuwa mkubwa ila bei sokoni hailipi kabisa mchicha kichenga 50 Mia moja hadi 150 kwa jumla. Moyo umekufa ganzi mboga zimekuwa nyingi masokoni bei imechafuka markets saturation.
Lovery JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 1,602 Reaction score 3,396 Aug 15, 2019 #25 Umepata ufumbuzi wa tatizo lako?
G8M8 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 432 Reaction score 393 Aug 16, 2019 Thread starter #26 Lovery said: Umepata ufumbuzi wa tatizo lako? Click to expand... Mkuu tatizo naona linaondoka shambani
Lovery said: Umepata ufumbuzi wa tatizo lako? Click to expand... Mkuu tatizo naona linaondoka shambani