Nichomoe betry ?

Hawa wanaojiita baharia ni bogus kabisa.

Wengi wana element ya umama.
 
Usichomoe betri, so far so good, wao wanaelewana we piga kimya
 
Baharia ukichomoa betri kwa baharia mwenzako ni sawa na wasauzi kuuwa waafrika wenzetu
 
Sinaga huruma na mtu Malaya, wengine tunatafuta kupendwa yeye anachezea bahati? Mtu anamlipia hadi kodi analeta mwanaume ndani?

Leo leo mpigie jamaa mwambie kila kitu, na mungu atakubariki, na video tuma kwan sh ngapi??
Atafungwa akituma hiyo video. Sheria hairuhusu
 
Huyo jamaa ashamshtukia huyo demu ila hana ushahidi ndo maana akakuomba msaada ili apate ushahidi ajipange upya kwa maisha mengine....Kama kwel ww ni Baharia usingekuja huku, ungemalizia tyu jamaa alipoanza.
 
Maybe
 
Binafsi

Ningemfahamisha huyo demu kama nina video yake kisha na mimi ningeforce anipe mzigo coz bila ya hvyo namchoma

Atachagua mwenyewe anibanie ili nimchome au afungue moyo tutunze siri

kazi kwake...

KIBAHARIA ZAIDI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…