Mmmh!mie hata sinaAsante mamito
Wewe huchani watu??
Nitumie picha zako nyingi PM nikuchagulie ya kuweka.
Mkuu sio sir jina ako bayaaa..afu we ni ke' huoni wenzio akina miss chagga ,Honey Faith na mange kimamb...wana majina mazuri?
Nimekuchana.
Na wewe unayeweka maua kwani hapa ni msibani?mahondaw avator yako ya sa hivi haivutii kabisa yani badilisha basi
Hahah,si wew mwenyew uyo una jina baya.ati mahondaw ndo jina gani ilo mam?Nani huyo??
Mtaje aje achanike hapa
Mkuu nakuchana..... Una jina baya kuliko watu wote humu Jukwaani. Wewe na Nantombe Mushi. Hahahammmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!