Nichagueni ili mnikumbuke kwa haya mema nitakayowafanyia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nichagueni ili mnikumbuke kwa haya mema nitakayowafanyia!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutashubanyuma, Sep 30, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Mema haya msije mkazembea mkayakosa:-

  a)Nitachakachua matokeo na kuhakikisha CCM inashinda kwa zaidi ya asilimia themanini.


  b)Nitaishinikiza NEC ifukuze wapigakura vituoni kurahisisha mashushu wangu wapendwa kujua jema la kunifanyia.


  c)Nitaendelea kuahidi wapigakura kumaliza kero zao zote wanazozijua na zile ambazo hawazijui nikijua bayana ya kuwa miaka mitano ijayo sitaigusa kero hata moja kwani huko mbeleni yaani 2015 sihitaji kura ya mtu!


  d)Sitafanya makosa kama aliyoyafanya Nyerere ya kuitekeleza familia yake kwa kuhakikisha ninajenga mazingira mazuri kwa kijana wangu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Msomi ambaye hajawahi kuonekana Ridhiwani Kikwete


  e)Kwa ahadi hizi msiponichagua basi ninyi mna walakini!!!!!!!!!!!
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuu kwanini!?
   
 3. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,164
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Du hii kali,especially ile ya Familia yake na kutoonekana tena 2015 kuelezea mafanikio
   
Loading...