Nichague kozi gani.!!!!!!.????

Nichague kozi gani.!!!!!!.????

Wapendwa katika social networks nawasalimu kupitia Jamii Forums.

Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Nimehitimu kidato cha sita mnamo mwezi huu tar. 9. Ambapo nilikua nachukua masomo ya Arts History.. Geography na Language. Katika masomo yangu hayo na combi yangu hiyo ya Hgl. Nimejikuta napata taabu sana katika uchaguzi wa FACULTY ambayo ni nzuri na inapriority hapa Tanzania kwa sasa. Ninaomba msaada wenu wanajamii JF. Wenzangu.. Nichague FACULTY GANI!!? Natumaini wengi mlipita hukuhuku ninapopita mimi saa hii.. Kwaivyo mnauelewa mkubwa kuusu haya mambo.. Ninaomba nisiwe muandikaji sana.. Nitoe fursa sasa ya kupata ushauri kutoka kwenu wadau..
Subiri matokeo kwanza yatoke.
 
Kama unatokea familia ya kawaida, soma

Bachelor of education with ICT ( Teaching subjects: GL )

Hutojuta - Thank me later !
Hivi unaweza kusoma ICT bila kusoma science advance?
 
Hivi unaweza kusoma ICT bila kusoma science advance?
Huwezi kusoma Computer Science au Computer Engineering bila kusoma sayansi ila kwa ICT hata arts wanasoma.

CASE STUDY: Rafiki yangu alisoma HGL ila kahitimu UDOM, Bsc with ICT ( Class of 2015 ).
 
Akhsante.. Nashukuru sir.
Naomba kikuulize mdogo wangu ...hapo kabla ulitamani kuwa MTU wa aina gani kama ukishakuwa MTU mzima...maana naamini ndoto za maisha ya kufanikiwa huanza mbali ...ili tukushauli vizuri taja vipao mbele vyako kwanza katika taaluma.....nasi tukusaidie...
 
Subiri matokeo yatoke then yakupe mwanga wa kuchagua..na pia wewe mwenyewe unataka kusoma nini.? Its better ukachagua kitu unachokipenda rather than depending on other people's selection.
 
Wapendwa katika social networks nawasalimu kupitia Jamii Forums.

Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Nimehitimu kidato cha sita mnamo mwezi huu tar. 9. Ambapo nilikua nachukua masomo ya Arts History.. Geography na Language. Katika masomo yangu hayo na combi yangu hiyo ya Hgl. Nimejikuta napata taabu sana katika uchaguzi wa FACULTY ambayo ni nzuri na inapriority hapa Tanzania kwa sasa. Ninaomba msaada wenu wanajamii JF. Wenzangu.. Nichague FACULTY GANI!!? Natumaini wengi mlipita hukuhuku ninapopita mimi saa hii.. Kwaivyo mnauelewa mkubwa kuusu haya mambo.. Ninaomba nisiwe muandikaji sana.. Nitoe fursa sasa ya kupata ushauri kutoka kwenu wadau..
  1. Law
  2. Mass Communication
  3. Social Works
All the best japo swali lako lina ukakasi kidogo hasa unapouliza uchague Faculty gani kwani nadhani ulitakiwa uulize unataka kufanya Kozi gani.
 
Ina maana ulikuwa huna malengo kabisa tangu ukiwa upo shule???? Interesting

FORM 6 KWENYE UBORA WAKO
 
Back
Top Bottom