pambania maisha yako kijana, maisha ya watu hayakuhusu wala hayakusaidii kitu.Kuna huyu demu wangu wa kichaga nice wa tilisho safari anaye trend mitandaoni kazi yake ukondakta kampuni ya tilisho safari tuache endorsement zake.
Sponsors wake na madeal mengine tuzingatie posho tu ya bus me nimewaambia wana kwamba huyu atakuwa halipwi juu ya 50,000/= na konda hata ajikute balozi kiasi gani konda hanaga mshahara ni posho tu na anayezingatiwa huwa ni dereva mshahara na posho ndo analipwa nyie wadau mnasemaje kwenye bus anapatiwa shingapi je ni zaidi ya laki kukizi mahitaji yake?
View attachment 2764304
Kuna bus moja la dar-songea abiria wanagawiwa maandazi njiani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna bus moja la dar-songea abiria wanagawiwa maandazi njiani
Kamekuwa maarufu basi mabazazi watakapiga mimba sasa hivi
Umenikumbusha mhasibu wa daladala sijui za Bunju Segerea kuna siku amewahi kutugawia pipi alitumia lugha fulani ya kufurahisha abiria walifurahi sana.Kuna bus moja la dar-songea abiria wanagawiwa maandazi njiani
Jamii forums ya sasa ina walimbukeni wengi sio kama zamani mpuuze mleta mada siku zako zipate kuongezeka maradufu
πππππNa akapata mchumba mwenye hela zake akaolewa
Kama na wewe ni Mwanaume na Upo kwanini usimfuate wewe? Au wewe ni Swala?Wapi Simbaa! Platinumz...
Atusaidie... Kwa Hiki kitoto!
Ndio maana akaitwa simba!...hakuitwa simba ili ale nyasi...
namshangaa simba hadi sasa kimya!?
Anaachaje nyama kama hii...
Simba Anakiachaje hichi kitoto! Kinatamba tamba kama vile wanaume hatupo!?
Simba anatuangushaa! Wanaume!
Ukikutana nae ni wa kawaida sanaa...mfupii hlf km katoto kbsKwenye malipo anayolipwa na office sidhani kama anatisha kiivo labda huko kwenye endorsement
Hizi tik tok na Instagram zimempa mileage tu ila sidhani kama ana content ya kumfanya amaintain mda mrefu