ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,691
- 57,141
Labda route ndefu za dar to iringa ,2 songea kdg zina maokoto ila chuga nauli 30000 lazima wajiongeze njiani ila official posho yake kila safari maximum 50000 si ndiomakonda wa mabasi ya mikoani hawahitaji hata posho, wale abiria wa njiani na mizigo ndio inawatoa, kwa tripu ya arusha dar hueezi kosa elfu hamsini kila siku, wanapata ela sana
Uko sahihi mkuu ila kŵa wanawake aisee soko Lao gumu mpk uje kula timing ni ishu maana wako wengi lazima uwe na content ya maanaWabongo wengi tuna roho mbaya sana.
Hadi kabinti tunakaonea wivu kwa kazi yake ya ukondakta na kucheza na social media...
Aisee ukisikia nchi yenye washamba ni yetu.Kuna huyu demu wangu wa kichaga nice wa tilisho safari anaye trend mitandaoni kazi yake ukondakta kampuni ya tilisho safari tuache endorsement zake,sponsors wake na madeal mengine tuzingatie ...
Kimsingi wanapata hela ingawa inategemea route. Mfano route ya Dar-Arusha wanapata hela pale moshi. Utakuta nusu ya abiria wanashuka pale moshi na wakishuka wanajaza abiria wa Arusha.Kuna huyu demu wangu wa kichaga nice wa tilisho safari anaye trend mitandaoni kazi yake ukondakta kampuni ya tilisho safari tuache endorsement zake,sponsors wake na madeal mengine tuzingatie posho tu ya bus me nimewaambia wana kwamba huyu atakuwa halipwi juu ya 50,000/=...na konda hata ajikute balozi kiasi gani konda hanaga mshahara ni posho tu na anayezingatiwa huwa ni dereva mshahara na posho ndo analipwa.nyie wadau mnasemaje kwenye bus anapatiwa shingapi je ni zaidi ya laki kukizi mahitaji yake?
View attachment 2764304
Uko sahihi mkuu ila kŵa wanawake aisee soko Lao gumu mpk uje kula timing ni ishu maana wako wengi lazima uwe na content ya maana
Jamii forums ya sasa ina walimbukeni wengi sio kama zamani mpuuze mleta mada siku zako zipate kuongezeka maradufuAisee ukisikia nchi yenye washamba ni yetu.
😂😂😂Wew Skudu kwaiyo Sisi new comers malimbukeni au sioJamii forums ya sasa ina walimbukeni wengi sio kama zamani mpuuze mleta mada siku zako zipate kuongezeka maradufu
Hiyo pisi ishatoboa ashaanza kuzipiga hela za matangazoWabongo wengi tuna roho mbaya sana.
Hadi kabinti tunakaonea wivu kwa kazi yake ya ukondakta na kucheza na social media...
Achana nae mtoto wa chuo huyo me nimeaanza jf niko o level kacheki history yangu na mpaka naajiriwa niko account hii hii kwa hiyo nina mipaka nahieshimu na naijua na kuna stori naleta lengo kuchilimua hatuwezi kuwa serious muda wote si wengine tunakula bia daily mtuvumiliage tuWew Skudu kwaiyo Sisi new comers malimbukeni au sio
We mzee upo?makonda wa mabasi ya mikoani hawahitaji hata posho, wale abiria wa njiani na mizigo ndio inawatoa, kwa tripu ya arusha dar hueezi kosa elfu hamsini kila siku, wanapata ela sana