Unaweza ukasoma bachelor ya pharmacy na special major kwenye Toxicology ukawa Toxicologist, hapa utazisoma sumu zote za kemikali, biolojia n.k.
Pia naweza kukusaidia kukufundisha kutengeneza kama tukifikia muafaka wa maelewano kati yetu kutegemeana na malengo yako. Karibu