Oooh! Sorry,tafakari sana uone la kufanya,Jf kwa style hii ni vigumu kupata uamuzi sahihi,hebu jiamini kidume ondoa soni,mwendee bint muelezee kuhusu hisia zako kwake,mbona simple kiasi sana na hivi una namba yake.
Nafikl hii ilikua njia nzur, ugum unakuja kwamba natakiwa kutoka nje ya mji kikaz, si unajua hiz ajira mpya nazo! japo sio mbali saana ko kumzoe bado itakua ngumu na yy yupo hapahapa mjin ila mm nitakua mbal nae kidogo ni mwendo wa masaa 4 kutokq mjin alipo na ntakua huko kazn,,