nswambe george
Member
- Apr 13, 2015
- 22
- 5
Mtumie M-PESA..
Mbona na huku hujaniita??
Unataka uanze darasa la jinsi ya kutongoza?
Nataka kunoa kipaji changu...
Hehee msaidie kijana hapo anamng'atia kucha mdada...!
Atakuwa si rizki.... si bure.
Mpaka unataka kuoa bado domozege wala hayuko serious ni woga wako tu huo na madomozege wako hivyo sasa mpaka namba ya simu umepewa unashindwa hata kutuma msg au na mkono nao mkonozege
Jaman mtu akiomba msaada si unamsaidia au? hatuko sawa bana....
Una miaka mingapi? huyu ndio G/F wako wa kwanza?
Kumtongoza shida..kusex naye ndo utaweza au utavaa rambo usoni