Ndiyo sababu Mkuu taasisi zetu nyingi zinakuwa hazina mafanikio ni uongo uongo tu kila mahali hata DNA wanamlia pesa ME kisha kumdanganya!!! Ya nini kuwa na huduma kama hiyo nchini kisha kutosema kweli!? Si bora waifute tu? Ndiyo sababu siku hizi ME wenye kutaka kuhakikisha kama watoto ni wao wanajiendea Nairobi hivyo kulikosesha Taifa pesa chungu nzima.