Niambie ukweli; leo lunch wapi?

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,701
Wakuu naona mida ya maakuli ndo hiyo. Waswahili husema ukimchunguza sasa kuku anavyotaga hilo yai utashindwa kulila; au kwa kifupi siri ya mtungi aijuaye kata. Kila mmoja anajua anakopata msosi hasa wa mchana. Hapa ofisini kwetu kuna mjasiliamali mmoja wa kisasa huwa anatuletea kwa gari na hilo pekee yake pamoja na vyombo anavyotumia vinatupa matumaini kuwa "standard" ya mlo wetu yumkini ni wa kiwango. Lakini hakuna anayefahamu mazingira chakula hicho kinapotayarishiwa.

Nawatakia mlo mwema; ila naomba kila mmoja aniambie ukweli; leo lunch unakula/umekula wapi?



​
 
Steers Out ndio mpango mzima....soda kwa Amina vyepe zege kwa Stevie!!!
Ila nikiwa maeneo ya Stesheni chimbo langu kubwa ni Mtipesa Take Away karibu kabisa na ofisi za Traffics...
 
teh teh teh.... sawa kwa huyo mama anaepumulia sinia hapo...
 
kama kawa, kama dawa! naadabishwa tu hapa na mkoloni! tena wangu wa kiarabu, nipo hoiiiii, mzima ww?
mie mzima wa afya..aisee kweli huyo mkoloni..uko kwa sultan sayeed sayeed....ila tutapanga tukale samaki mixer upepo wa bahari...
 
nimekula maharage na chapati asubuhi inatosha mpaka jioni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…