Unampigia msichana simu
akipokea tu anaanza "niambie kaka angu" au Kijana unamwida mdada wa
makamo "niambie dada fenela". Mimi natoka mikoa ya kaskazini wewe
unatoka hapa pwani huo ukaka unatokea wapi sasa.....We pokea simu taja
jina langu "mambo ben". huo ukaka na udada hapa daslam hamna.
Katika kutengeneza mazingira lazima tuyatumie hayo majina KAKA benteke.
hehehehhe...dah. itabidi tuanze kua makini na hawa makaka wa wapenzi watu.
Toka simu imeita kuna mtu pembeni anasikilizia itapokelewaje... unategemea nini lazima kaka itumike.. usishangae kuna siku utasikia Ndio Baba, shikamoo...