tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Daaaah limenitoa chozi..
Mi sijasoma zamani sana - early 90's - lakini nilitumia madaftari hayo!!!
Enzi hizo elimu ilikuwa raha sana...na walimu walikuwa na moyo kuliko hawa wa siku hizi!!!
Umenikumbusha Kibo Primary na Shule ya Moshi (Moshi, Kilimanjaro)...enzi za kupeleka kuni shule na kisado cha maharage.
Umenikumbusha UMITASHUMTA na ukaguzi wa usafi kila Jumatano!
daaah umenikumbusha mbali sana mkuu...
kakukumbusha mbali kweli ila hilo la machozi mmmmh unayo tu ya karibu
Enzi, hizo buku likijaa unapeleka kwa mwalimu analichana kdg then unapewa jengine.
Penseli unapewa skuli, kalamu, mabuku, hadi kampas box unapewa skuli plus na kikombe cha uji.
Kitambo mbaya,Kuna lingine lina picha ya sungura..