Niaje...niaje people in Chit-Chat mko poowaa!!Mx

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Inakuwaje mbona pamepowa humu ndani jamani,niaje niaje?au kisa Mpolee ayupo?naona pako dolo...ile mbayaaa yanii,watu cjui wamelala...siwasomi kabisa yani wajanja wa Chit Chat mko wapi?naona kambi imevamiwa hebu jitokezeni bana tupeane ma story ya kutosha nini...na maujanja mengine mje msanuke pande hizi yani,Dazi Pozi in da house yooo..Mpendwa na Wengi,Mchukiwa wa chache..hahahahahahahahahaha.wacha ni cheke miye!!wajanja wote tujumuike basi hey bro?.sister hebu mwambie shosti wako azame Chit Chat coz wajanja wote wa Jf wamo ndani.Nchi ishauzwa nashangaa atupewi CHETU,ebwana eeee karibu,Mx
 
unataka wajanja gani?
Mbona kumejaa hakuna hata nafasi ya kupita.
 
Wajanja mbona wapo kibao tu, tatizo wewe umetia kambi kwenye thread yako hapa. lol
Tatizo nini Asha,yani Topic zote naona kama hazina mvuto hivii 4maside lakini ngoja aje ma bebi Mpolee,lol,Mx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…