Niaje...niaje people in Chit-Chat mko poowaa!!Mx

Inakuwaje mbona pamepowa humu ndani jamani,niaje niaje?au kisa Mpolee ayupo?naona pako dolo...ile mbayaaa yanii,watu cjui wamelala...siwasomi kabisa yani wajanja wa Chit Chat mko wapi?naona kambi imevamiwa hebu jitokezeni bana tupeane ma story ya kutosha nini...na maujanja mengine mje msanuke pande hizi yani,Dazi Pozi in da house yooo..Mpendwa na Wengi,Mchukiwa wa chache..hahahahahahahahahaha.wacha ni cheke miye!!wajanja wote tujumuike basi hey bro?.sister hebu mwambie shosti wako azame Chit Chat coz wajanja wote wa Jf wamo ndani.Nchi ishauzwa nashangaa atupewi CHETU,ebwana eeee karibu,Mx
dogo si ulitangaza kujitoa humu watu hawakupendi?iweje leo useme mpendwa na wengi unachukiwa na wachache?peleka upupu wako huko
 
Halafu popobawa tabia yakupitia watu alafu unawalazimisha watangaze sio nzuri hata kidogo ni ya uonevu

Nampango wa kuanza project hapa JF, hlf lazima m2 atoe sredi y kujitangaza.
POPOBAWA
 
Back
Top Bottom