Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,580
- 81,533
Yes kuna mchawi mmoja alikuwa anatabia ya kuniwangia ghetto nikawa nacheka tu sasa nikaanza kulipuka shada kila usiku mbona na kumjua nilimjua maana alinionyesha chuki hadharani mtaani nikasema kweli nimempatia dawa.Salaam wakuu
Eti wakuu niliskia eti bangi inafukuza majini yaani majini yakiskia harufu ya bangi yanakimbia[emoji3] hivi ni kweli?
Na bangi inasaidia nini mwilini? inauwezo wa kutibu magonjwa? Ni magonjwa gani hayo yanayotibiwa kwa kutumia bangi?