jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 511
Ukihisi umelewa piga puff mbili tatu Pombe zinakata hulewi kiboya.
Na kulewa kiboya kuna mengi so unakuwa umejisevu na mengi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Really?Ndomana madem wengi wadangaji wanavuta...
Kuna majini wengine ni wakali sana usije thubutu kuwatishia bange maana hata wao wanatumiaaSalaam wakuu
Eti wakuu niliskia eti bangi inafukuza majini yaani majini yakiskia harufu ya bangi yanakimbia[emoji3] hivi ni kweli?
Na bangi inasaidia nini mwilini? inauwezo wa kutibu magonjwa? Ni magonjwa gani hayo yanayotibiwa kwa kutumia bangi?
Naomba namba ya supplier wako. Ana brand zipi; Chuga, Tarime, Tabora au Rukwa?Really?
Sijui.
It worked for me so I guess unasema kwa upande wako pia.
Chuga ndo safi bro.Naomba namba ya supplier wako. Ana brand zipi; Chuga, Tarime, Tabora au Rukwa?
Aisee!Bangi ni tulizo la akili, nafsi na mwili! Kilevi ambacho hakifanani na kilevi chochote kile, mmea bangi ndio urithi wa dunia..japo wanafki wanaipiga vita, wanaondoka wao bangi wanaiacha
BomboclaaatBangi ni tulizo la akili, nafsi na mwili! Kilevi ambacho hakifanani na kilevi chochote kile, mmea bangi ndio urithi wa dunia..japo wanafki wanaipiga vita, wanaondoka wao bangi wanaiacha
mkuu hvi ile simulizi yako ya majini ukiimaliziaga? kama ni ivo naomba link ya uzi bas ilinipitaBangi ni tulizo la akili, nafsi na mwili! Kilevi ambacho hakifanani na kilevi chochote kile, mmea bangi ndio urithi wa dunia..japo wanafki wanaipiga vita, wanaondoka wao bangi wanaiacha
Yeap asante kwa kunitafutia mteja.
Unakuwa huogopiSalaam wakuu
Eti wakuu niliskia eti bangi inafukuza majini yaani majini yakiskia harufu ya bangi yanakimbia[emoji3] hivi ni kweli?
Na bangi inasaidia nini mwilini? inauwezo wa kutibu magonjwa? Ni magonjwa gani hayo yanayotibiwa kwa kutumia bangi?