Ni zipi faida za bangi?

Ni zipi faida za bangi?

jiwe gizani

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
380
Reaction score
511
Salaam wakuu

Eti wakuu niliskia eti bangi inafukuza majini yaani majini yakiskia harufu ya bangi yanakimbia hivi ni kweli?

Na bangi inasaidia nini mwilini? inauwezo wa kutibu magonjwa? Ni magonjwa gani hayo yanayotibiwa kwa kutumia bangi?
 
Kuna majini wengine ni wakali sana usije thubutu kuwatishia bange maana hata wao wanatumiaa
 
Iliyo komaa vizuri ikazindikwa vizuri na isiyotoa moshi mweupe pe pepe hiyo ndo yenye kiwango
ina faida nyingi tu hata kutuliza amani ya nafsi
ifikie mahali watu wailime kama zao la biashara tu
tuwe na coffeeshop kama uholanzi jama tumeachwa mbali
 
samahan
Bangi ni tulizo la akili, nafsi na mwili! Kilevi ambacho hakifanani na kilevi chochote kile, mmea bangi ndio urithi wa dunia..japo wanafki wanaipiga vita, wanaondoka wao bangi wanaiacha
mkuu hvi ile simulizi yako ya majini ukiimaliziaga? kama ni ivo naomba link ya uzi bas ilinipita
 
Salaam wakuu

Eti wakuu niliskia eti bangi inafukuza majini yaani majini yakiskia harufu ya bangi yanakimbia hivi ni kweli?

Na bangi inasaidia nini mwilini? inauwezo wa kutibu magonjwa? Ni magonjwa gani hayo yanayotibiwa kwa kutumia bangi?
Unakuwa huogopi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom