Ni zamu ya ukahaba mitaani sasa

Ni zamu ya ukahaba mitaani sasa

Milestone

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
376
Reaction score
413
Tuweni makini ndugu zangu kwani wale dada zetu ambao wamekuwa wakifanya ukahaba mavyuoni ndo wanarejea nyumbani kwa ajili ya likizo hivyo tuwe macho kwani wanaweza kutuletea biashara zao magetoni mwetu !
 
unaishi dunia ipi wewe? hapo unapoishi hakuna wanawake wanaojiuza? usiwadhalilishe wadada wa vyuoni kuwa ndo makahaba wakati dunia ya leo makahaba wamezagaa kila kona! na ina maana wote hao ni wanavyuo?
 
jaribu kutoifautisha ho waliopo mtaan ni wale ambao tayari mnawafahamu ila hao wa vyuon weng hamtajua mishe zao hvyo kuweni makn !
 
jaribu kutoifautisha ho waliopo mtaan ni wale ambao tayari mnawafahamu ila hao wa vyuon weng hamtajua mishe zao hvyo kuweni makn !

kahaba ni kahaba tu..awe mwanchuo au si mwanachuo. wote mambo yao ni yale yale na yanafahamika! halfu kahaba hakubaki ni wewe kupenda kwako. yaani umetoa tahadhari as if makahaba wa vyuoni ni simba wanararua watu. lastly, hakuna kahaba mwanamke kama hakuna kahaba mwanaume. no sellers if there no buyers!
 
Mmmmh! Mungu amnusuru mume wangu asionane nao ............
 
mliopitia vyuo mnajua vingi sana.... na fujo mlizokuwa mnafanya, sio? haya kwa taarifa na tahadhari
 
Wakirudi nyumbani wanakuwaga decent sana. Kuna dada namfahamu chuoni alikuwa chupi mkononi na alikuwa anafuatwa na magari ya kila aina usiku. Nyumbani kwao alikuwa mzee wa kanisa kwa upande wa vijana.
 
Back
Top Bottom