Kama anadhani ni rahisi hivyo kupata wafuasi na kupiga pesa uwanja uko wazi kafungue kanisa kama hujafunga ndani ya mwezi.Sababu mtu kama Mimi nikaja nisipopata miujiza ninaotaka kama ulitangaza kunivutia wakati huna uwezo wa kufanya miujiza nisipopata hunioni na nitakutangaza vibaya kuwa tapeli.Watanzania wabishi hadi uone mtu wamemkubali na wanajaa nyomi ujue ana kitu.Kama unadhani ni kitu rahisi jaribu.
Eti wanataka kuona miujiza.....haaaahaaaNa bado anajaza kanisa..Kuna watu/waumini wa hovyo sana aisee
Waafrika shida ndio tatizo... Ukiwafuatilia hawa manabii wengi wanatumia nguvu za giza.. Na lengo kujilimbikizia Mali were chunguzaNa bado anajaza kanisa..Kuna watu/waumini wa hovyo sana aisee
Ndio shida ya dini Kila muumini dini ya mwenzie isiyo yake huiona ya hovyoNa bado anajaza kanisa..Kuna watu/waumini wa hovyo sana aisee
Acha hizo dengue tu Hapa tiba haipo haijapatikana shida ohh hakuna Cha hatua ya maendeleo Wala Nini.Dengue tu inapelekesha Kama niniMiujiza ilikua zamani wakati binadamu hawajapiga hatua za kimaendeleo kwenye sekta ya afya. Magonjwa yote ambayo mungu alikua akiwalaani wanadam enzi hizo siku hizi yana dawa na mengine yame tokomezwa kabisa.
Acha hizo dengue tu Happ shida ohh hakuna Cha hatua ya maendeleo Wala Nini.Dengue tu inapelekesha Kama nini
Umezungumzia kupiga pesa basi jua kanuni ni kwamba kila mfanya biashara na soko lake.Sijui kakobe aka tortoise ,hakuna cha mama rwakatale sijui gwaji boy au huyu Mzee Wa upako na ulabu ni muda wa mwamposa mji mzima umehamia huko.
Jamaa anamafuta sijui yanatoka wapi.anamagazeti sijui ndio mambo gani achilia mbali maji ya upako.
Wahitimu walikosa ajira,walikosa watoto,wanaotaka vyeo,wanataka kupandishwa madaraja, wenye magonjwa yasiyo na tiba ,wanataka ndoa na kupata wenzi wote wamehamia huko
Jamaa amajaza kama wote vile
Hongera zake ni kupiga pesa ndio muda kabla wengina hawajaibuka
Kila nabii na muda wake
Kwa kweli wajinga ndio tuliwaoAcha apige pesa wajinga ndio waliwao
et nikikohoa mnaitikaPastor Ng'ang'a Nairobi ndiye habari ya East Africa kwa sasa hebu msikilize video hii hakika utairudia hata mara saba!! View attachment 1117018
Kuna siku nilienda pale nikahesabu kwa haraka haraka kuna sadaka kama saba.....mafuta, maji, gazeti, kuchangia ujenzi, sadaka ya shukrani, sadaka ya kawaida na mchango kwa ajili ya redio.
Ila hata siachi kwenda mweee