Ni zamu ya nabii na mtume Mwamposa, wengine tupa kuleeee

Na kula watoto wazuri wazuri. Biashara inalipa sana
Kama unadhani ni rahisi hivyo kupata wafuasi na kupiga pesa uwanja uko wazi kafungue kanisa kama hujafunga ndani ya mwezi.Sababu mtu kama Mimi nikaja nisipopata miujiza ninaotaka kama ulitangaza kunivutia wakati huna uwezo wa kufanya miujiza nisipopatapata hunioni na nitakutangaza vibaya kuwa tapeli.Watanzania wabishi hadi uone mtu wamemkubali na wanajaa nyomi ujue ana kitu.Kama unadhani ni kitu rahisi jaribu.
 
Suguye yupo wap?
Nitajie kijiji au wilaya ambayo kuna mitume na manabii..
Huyo suguye wa matembele ya pili yupo hapo kitambo kabla hayajiita mtume kumbuka zamani mitume walikuwa mmoja mmoja Tu tofauti na sasa kila baada ya nyumba mbili kuna nabii na mtume
 
Cha ajabu sijawahi ona manabii na mitume wanaishi vijijini kila anayejiita mtume na nabii wanapatikana seheme za katikati ya dar.

Huku mitaa yetu ya mbagala,chamaz,chanika au gongolamboto hawaishi kabisa kila siku utasikia sinza,mwenge,kawe,mikocheni,Kimara na mbezi
umefikiria vizuri sana
 
Nikishakutajia?!🤷🏿‍♀️
 
Hakuna sehemu nzuri ya kujipatia vimwari vilivyokata tamaa na life la mahusiano kama huko kwenye hayo makanisa. Cha kufanya vaa kawaida tu usiwe mchomekeaji sana kama wale wanakuaga mbele mbele na usivae kihuni sana....kuwa gengle tu basi ukiomba no hukosi na ukimchek kaz ni ndogo saaaana si wanataka ndoa
Vpi huwa unawaoa?
 
Sasa hivi watu wanatafuta miujiza Ni mawili tu unayo au huna.Biblia inasema wazi kwa viongozi wa kanisa .Biblia inasema Wakahubiri neno na Mungu akathibitisha neno lile Walilohubiri kwa ishara na miujiza mingi .Neno unalohubiri kujua unahubiri hewa angalia kuna miujiza inafuatana na mahubiri yako kama hakuna wewe tapeli mhubiri mahubiri hewa tu.Mpiga porojo na mpotezea watu wakati.Ndio maana sisi wapenda miujiza tunaenda kule tunakoona neno linalohubiriwa linathibitishwa na ishara na miujiza.Tunafuata neno lenye uthibitisho sio porojo hewa.Paulo anasema wazi nilipokuja kwenu sikuja na porojo za ushawishi na maneno ya hakima za kidunia bali katika nguvu za miujiza .Nakuuliza una miujiza au huna? Mitume walijua wanayo.Wakamkuta kiwete omba omba mlango wa hekaluni wakasema fedha na dhahabu hatuna lakini miujiza tunayo kwa jina la Yesu simama uwe mzima akainuka.Vipi wewe miujiza unayo au huna? ni mpiga porojo wa madhabahuni tu? Hunioni kanisani kwako.Hata unilaghai vipi
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
1 Yohana 4:1

Huko kwenye kutafuta miujiza utakuja kukutana na miujiza ya kishetani.
Mathayo 7:21
21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
 
Heri nikutane na miujiza ya kishetani kuliko kukutana na kiongozi wa kanisa au kusali kanisa ambalo haliamini miujiza wakati Mungu ni mtenda miujiza siwezi amini matapeli wanaosema miujiza ilikuwa zamani wakati Biblia inasema Mungu habadiliki ni yeye yule yule Jana Leo na hata milele.Haya vipi wewe una miujiza ya Mungu nije kwako unipe au ni Mpiga porojo hewa madhabahuni? Vipi una miujiza ambayo ni ya kimungu nije nataka muujiza wa kupata mwekezaji kwenye shamba langu chap chap.Nimetoka kununua jioni hii ya Leo nanatafuta wawekezaji Mimi share yangu Ardhi wao wamalizie mengine.Vipi hili waliweza wewe ambaye una roho ya Mungu? Umesena tuzijaribu roho nataka mwekezaji apatikane ndani ya siku saba nione kama roho yako yatokana na Mungu mtenda miujiza au haitokani na Mungu mtenda miujiza.Nakupa mtihani huo kana sehemu ya kukupima kama hiyo roho yako yatokana na Mungu kama ulivyosema.Jaribio hilo hapo la kuijaribu hiyo Roho yako nina shida hasa ya mwekezaji eneo liko pazuri mno
 
Jamaa ana mbinu kuna siku nilisikia mshirika wake, anasema anawafundisha hadi wanawake jinsi ya kuvaa
 
Kuwa gentleman au
Gengle ni kiswahili ?kamanda
Hakuna sehemu nzuri ya kujipatia vimwari vilivyokata tamaa na life la mahusiano kama huko kwenye hayo makanisa. Cha kufanya vaa kawaida tu usiwe mchomekeaji sana kama wale wanakuaga mbele mbele na usivae kihuni sana....kuwa gengle tu basi ukiomba no hukosi na ukimchek kaz ni ndogo saaaana si wanataka ndoa
 
Heri nikutane na miujiza ya kishetani kuliko kukutana na kiongozi wa kanisa au kusali kanisa ambalo haliamini miujiza wakati Mungu ni mtenda miujiza siwezi amini matapeli wanaosema miujiza ilikuwa zamani wakati Biblia inasema Mungu habadiliki ni yeye yule yule Jana Leo na hata milele.Haya vipi wewe una miujiza ya Mungu nije kwako unipe au ni Mpiga porojo hewa madhabahuni? Vipi una miujiza ambayo ni ya kimungu nije nataka muujiza wa kupata mwekezaji kwenye shamba langu chap chap.Nimetoka kununua jioni hii ya Leo nanatafuta wawekezaji Mimi share yangu Ardhi wao wamalizie mengine.Vipi hili waliweza wewe ambaye una roho ya Mungu? Umesena tuzijaribu roho nataka mwekezaji apatikane ndani ya siku saba nione kama roho yako yatokana na Mungu.Nakupa mtihani huo kana sehemu ya kukupima kama hiyo roho yako yatokana na Mungu kama ulivyosema.Jaribio hilo hapo la kuijaribu hiyo Roho yako nina shida hasa ya mwekezaji eneo liko pazuri mno
Naona unaongea kihisia tu pasipo kuonyesha facts za kibiblia.
Nyie wanawake wengi amna iman dhabiti ndio maana shetani anapenda kuwatumia kupitisha vitu vyake.
 
Cha ajabu sijawahi ona manabii na mitume wanaishi vijijini kila anayejiita mtume na nabii wanapatikana seheme za katikati ya dar.
Huku mitaa yetu ya mbagala,chamaz,chanika au gongolamboto hawaishi kabisa kila siku utasikia sinza,mwenge,kawe,mikocheni,Kimara na mbezi
Hiyo ni biashara kama biashara zingine. Mjini ndiko pesa zipo
Ushawahi kuona Hotel au supermarket inajenga kijijini?
 
mbona matajiri hatujawakiskia wakiombea na manabii hawa marehem mengi, mo dewji, bhakresa lazima nijue kuna urakini tu hapa
 
Back
Top Bottom